News & Reports‎ > ‎

Untitled Post

posted Feb 18, 2021, 12:26 AM by William Ombade [ updated Feb 18, 2021, 2:10 AM ]

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

KUTAKUWA NA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA SUGU ATATIBU MAGONJWA YAFUATAYO:- PUA, MASIKIO,KOO NA MENGINE KUANZIA TAREHE 22/03/2021 HADI 26/03/2021 KATIKA HOSPITALI TEULE YA WASSO. WOTE WENYE MATATIZO HAYO WAFIKE HOSPITALINI KWA MATIBABU.

UKISOMA TANGAZO HILI MJULISHE NA MWEZAKO

UTAWALA WASSO DDH

Comments