TANGAZO TANGAZO TANGAZO KUTAKUWA NA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA SUGU ATATIBU MAGONJWA YAFUATAYO:- PUA, MASIKIO,KOO NA MENGINE KUANZIA TAREHE 22/03/2021 HADI 26/03/2021 KATIKA HOSPITALI TEULE YA WASSO. WOTE WENYE MATATIZO HAYO WAFIKE HOSPITALINI KWA MATIBABU. UKISOMA TANGAZO HILI MJULISHE NA MWEZAKO
UTAWALA WASSO DDH
|
News & Reports >